ARSENAL WENGER KAMPA TALAKA MKE WAKE…NA PIA ALIWAHI KUWA NA MCHEPUKO HUU
FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Watu maarufu kwenye michezo pia
wana maisha yao binafsi na wengine huwa hawapendi sana yazungumziwe
kwenye media. Lakini kuna gazeti moja la The Sun, kazi yake kubwa ni
kutafuta udaku kuhusu michezo na sio matokeo ya mechi peke yake.
Habari kubwa kwa sasa ni kwamba
Arsene Wenger anategemea kumpa talaka mke wake Annie Wenger ambae
walifunga ndoa mwaka 2010 na kufanikiwa kupata mtoto wa kike.
Lakini taarifa hiyo inasema
kwamba Wenger bado atakua anampa support ya kipesa mwanamke huyu na
wameshakubaliana kugawana mali zao.
Licha ya kuwa na mtoto wa kike
mwenye miaka 18 lakini inasemakana kwamba wapenzi hao(Arsene na Annie)
hawakua na furaha kwenye maisha yao ya mapenzi.
Pia inasemekana kwamba wiki
chache kabla ya ndoa yao Arsene Wenger alikua na uhusiano wa siri na
msanii mmoja wa kike huko Ufaransa anaitwa Sonia Tatar. Kuachana kwao
kumethibitishwa na mahakama za Ufaransa na sasa hivi kila mtu anaweza
kuwa na uhusiano na mtu mwingine licha ya Wenger kuendelea kuwa na
majukumu ya kulea familia yake hasa mtoto wake.


0 comments: