FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++
Mshambuliaji
wa Chelsea Diego Costa anakabiriwa na adhabu ya hadi mechi tatu na
chama cha soka nchini England baada ya mchezo usio wa kiuungwana kwa
mlinzi wa Arsenal Laurent Koscienly katika mchezo wa jumamosi iliyopita.
Katika mchezo huo uliomalizika
kwa Chelsea kushinda mabao 2-0 dhidi ya Arsenal, ulimalizika kwa Arsenal
kuwa na wachezaji wawili pungufu waliooneshwa kadi nyekundu na mwamuzi
Mike Dean.
Costa ambaye anakabiliwa na
adhabu kwa mchezo mbaya kwa Koscienly alioneshwa kadi ya njano na
mwamuzi Mike Dean ambaye hata hivyo haikujulikana kadi hiyo ni kwa kosa
la Koscienly au ni majibizano yake na Gabriel Paulista ambaye pia
alioneshwa kadi nyekundu baada ya kuingia katika mtego wa Costa.
FA
waliipitia ripoti yenye utata ya mwamuzi Mike Dean ambaye hakumuadhibu
Diego Costa kwa kitendo hicho kwa madai ya kutoona uzuri kilichotokea.
FA pia wamempa adhabu Gabriel
Paulista kwa kitendo chake kilichopelekea kupigwa kadi nyekundu, wakati
Saint Carzola akipewa onyo kali, na klabu zote mbili za Arsenal na
Chelsea zikipigwa faini kwa kutowafunza adabu wachezaji wake. Wote
wamepewa hadi saa kumi na mbili jioni jumanne hii kukata rufaa.
wedding myths
When you are taking any portrait try to find a way to get your couple to relax. When the couple is relaxed they will have more fun and their smiles will look much more natural. Often I will tell brides and grooms during their wedding pictures that I need a second to set something up (which is not true). Usually when I tell couples this they will relax and interact with each other which give me a great time to take more candid photos of them. When you are taking these best style pictures go and take detail pictures of little moments as the couple will love these. Believe it or not often these little detail pictures are the pictures our bride and groom get printed in large sizes.
Safi
ReplyDelete