FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Mashabiki
wa timu ya Simba wakizawadia fedha mshambuliaji wa timu hiyo Hamisi
Kiiza aliyefunga magoli matatu kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Mashabiki wa timu ya Simba
‘Mnyama’ walishindwa kuzuia furaha zao baada ya Hamisi Kiiza kuipa Simba
ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu
Tanzania bara uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa.

Hamisi Kiiza akipokea zawadi ya fedha na kofia kutoka kwa mashabiki wa timu ya Simba
Baada ya mpira kumalizika baadhi
ya mashabiki walioukuwa wamekaa karibu na lango kuu la kuingilia na
kutokea uwanjani, walimwita mshambuliaji huyo aliyetupia hat-trick ya
kwanza msimu huu na kumpa zawadi za pesa na vitu vingine kutokana na
kufurahishwa na kiwango alichokionesha Kiiza.
Kiiza
hakusita kupokea fedha hizo kutoka kwa mashabiki waliokuwa wakiimba
wimbo wa kumsifia Kiiza wakati akitoka uwanjani. Baada ya kuzipokea
zawadi hizo Kiiza aliwashukuru mashabiki hao na kuelekea vyumbani.
wedding myths
When you are taking any portrait try to find a way to get your couple to relax. When the couple is relaxed they will have more fun and their smiles will look much more natural. Often I will tell brides and grooms during their wedding pictures that I need a second to set something up (which is not true). Usually when I tell couples this they will relax and interact with each other which give me a great time to take more candid photos of them. When you are taking these best style pictures go and take detail pictures of little moments as the couple will love these. Believe it or not often these little detail pictures are the pictures our bride and groom get printed in large sizes.
0 comments: