HAWA WA KUCHEKA NA NYAVU?
FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Mechi sita ambazo tayari
wamecheza kwenye msimu huu washambuliaji hao wamejikuta wakifunga magoli
matatu ukijumuisha idadi ya mechi zote walizocheza hazipungui 35 wakati
huo goli moja la Eden Hazard linatazamwa kama Calum Chambers
alijifunga.
Washambuliaji wa kati Kane
(Tottenham), Aguero (Manchester City) and Costa (Chelsea) walikuwa
kwenye top three ya wafungaji kwenye EPL msimu uliopita.
Sanchez (Arsenal), Hazard (Chelsea) and Rooney (Man United) walikuwa wakitokea
pembeni na wote walichangia upatikanaji wa baadhi ya magoli. Rooney
aliweka historia ya kuwa mfungaji wa muda wote wa England mwezi huu
lakini akiwa amefunga magoli manne pekee mwaka 2015.
Washambuliaji hao wanahitaji
kujiamini. Hali hiyo inaweza ikaondoka bila sababu yoyote na kuchukua
muda kurejea. Au inaweza kusababishwa na mambo tofauti kama vile umri,
malengo au wakati mwingine vyote kwa pamoja.
Makocha wanasema huenda hali hiyo
inasababishwa na mchoko (kucheza mfululizo). Wachezaji ambao hata wao
hawahisi kuchoka lakini wanaambiwa wamechoka. Kane, Aguero and Sanchez
wote walikuwa kwenye mashindano wakati ligi ikiwa kwenye mapumziko.
Kane alirejea nyumbani akitokea
kwenye michuano ya mataifa ya Ulaya U21. Aguero (Argentina) na Sanchez
(Chile) walicheza fainali ya Copa America Julai 4. Hawakuwepo kwenye
ziara za klabu zao za kujianndaa na msimu mpya, walianzia benchi kwenye
mechi za kwanza za msimu mpya.
Aguero ametumia muda mchache
uwanjani ukilinganisha na wenzake sita lakini amecheza mechi za kirafiki
za kimataifa mapema mwezi huu nchini Marekani, wakati Sanchez alikuwa
Chile kwenye mechi dhidi ya Paraguay.
Costa, Sanchez na Kane walikuwa
ni wachezaji wapya kwenye ligi ya England msimu uliopita na walifanya
kazi kwa bidii sana. Walitumia muda mwingi kuwasoma wapinzani wao ili
kuhakikisha wanafunga magoli.
Katika orodha ya wafungaji bora
watano, wanne walikuwa ni wageni wa ligi hiyo; Kane, Costa, Sanchez
pamoja na Charlie Austin Aguero pekee ndiye hakuwa mgeni wa ligi hiyo.
Asilimia 25 ya mashuti aliyopiga Aguero kwenye mechi sita za mwanzo msimu uliopita alifunga, lakini msimu huu ni asilimia 6.7.
Sergio Aguero
Mashuti 16 magoli 6
Mechi sita za kwanza: 2015-16
Mashuti 15 goli 1
Harry Kane
Wayne Rooney
Mechi sita za kwanza: 2014-15
Mashuti 12 magoli 3
Mechi sita za kwanza:2015-16
Mashuti 7 magoli 0
Eden Hazard
Mechi sita za kwanza: 2014-15
Asilimia 80 ya mashuti yake yalilenga goli huku yalioyokwenda nje ya lango yakiwa ni asilimia 20.
Mechi sita za kwanza 2015-16
Asilimia 50 ya mashuti yamelenga goli na asilimia 50 yameenda nje ya goli.
Diego Costa
Mechi sita magoli 8
Mechi sita za kwanza:2015-16
Mechi sita goli 1


0 comments: